Uchaguzi wa kura za maoni kupitia CCM katika jimbo la Tarime Mjini na
Vijijini umeahirishwa hadi kesho baada ya kukamatwa makaratasi maalum ya
kupigia kura (kura feki ) zaidi ya elfu 20 zikiwa na majina ya
wagombea, Nyambare Nyangwine na Gaudencia Kabaka yakiwa tayari
yameshawekewa alama ya NDIO kuonesha kura zimekubaliwa
Wagombea Ubunge Tarime Wakamatwa Kwa Kutengeneza Kura FEKI

Post a Comment