0
Tokeo la picha la NUHU MZIWANDAkwa mujibu wa media yetu leo Nuhu akiwa na mpenzi wake shilole. nuhu amesema kitendo kilichofanywa na wema pamoja na timu yake sio cha kistaarabu.

mimi nimetake easy. Kwa sababu ni mambo ya dunia ambayo yapo duniani. So wameamua tu kunifanyia vile sio suala ambalo lipo na sio suala sahihi. 
Ile sio sauti yangu  watu tu wameamua kufanya ili kunichafulia mimi labda na mpenzi wangu. Kwasababu ukisikiliza mwisho kunamtu amejitaja jina lake.Nikitu ambacho kimepelekwa studio wakaiweka sawa ili wapate kitu kibaya kije kwangu na Shishi. Hiki kitu sikukitegemea kwa sababu watu waliofanya kitu kama hicho ni watu wenye vitu vingi, kwenye mambo ya kampeni yaani mimi sijategemea.

Mimi hili suala nimechukulia kawaida na naona ni ushamba na upumbavu na hawana akili hata kidogo. Kama ni kweli angemfuata shishi akamwambia 'kwamba mpenzi wako anafanya kitu  fulani kwangu' sio kutangaza. na kama kweli, kwanini singesema wengine wanao mtongoza na akaweka mtandaoni?. ni wema pamoja na watuwake wote ndio wameyanya hivi! siku ya kwanza shishi aliipokea vibaya lakini baada ya kumuelewesha kanielewa."

Kwa upande wa shulole ameseama,"mimi sina ugomvi na mtu katika maisha yangu, kama wametengeneza ili wafanye hayo yote mimi sijali,"watajua wenyewe" of course yameathiri mapenzi yetu.sasa hivi tupo fresh, kwasababu mwenyewe ameshaniomba 'mpenzi wangu samahani kwa kilicho tokea lakini sio kweli,' nimesha msamehe, mimi nimemuelewa alichosema nuhu basi.

KWA HABARI ,MUSIC ,PICHA NA VIDEO ZAIDI, TUFUATE KWENYE........!!!
FACEBOOK: BONGO DISSTZ
TWITTER: BONGODISSTZ
YOUTUBE: DISS TV

Post a Comment

Blogger Tricks

 
Top